TAARIFA IMEHIFADHIWA KWENYE KIFAA CHAKO
Wakati wa kutumia huduma zetu, kwa ridhaa yako tunaweza kuhifadhi taarifa kwenye kifaa chako. Taarifa hii inarejelewa kama "vidakuzi", ambavyo ni mafaili madogo ya maandishi yenye herufi na tarakimu kwa ajili ya kurekodi mapendeleo yako. Vidakuzi vinahifadhiwa kwenye kifaa chako unapotumia huduma zetu wakati wa kutembelea tovuti na kurasa zetu za mtandaoni.
Tunatumia pia vitu vinavyoshirikishwa kwenye kifaa chako au "vidakuzi vya flash". "Vidakuzi vya flash" vinafanana na vidakuzi vya kivinjari. Vinatuwezesha kukumbuka utembeleaji wako kwenye tovuti zetu.
Si vidakuzi wala vidakuzi vya flash vinaweza kutumika kukifikia kifaa chako au kutumia taarifa kwenye kompyuta yako.
Tunatumia tu vidakuzi na "vidakuzi vya flash" kwa ufuatiliaji.
Tunatumia tu mbinu hizi ili kufuatilia utumiaji wako wa huduma zetu kwa kurekodi mapendeleo yako.
Vidakuzi vinatusaidia kufuatilia watembeleaji kwenye tovuti yetu, kuboresha huduma zetu, kufanya iwe rahisi kwako kuzifikia na kuongeza uvutiwaji wako katika huduma hizi.
Tunatumia vidakuzi vya flash na vidakuzi vingine ili kutusaidia kukuonesha wewe matangazo yenye maana na yanayokuhusu zaidi.
VIDAKUZI VYA LAZIMA
Vidakuzi vya lazima vinatumika kuwawezesha watumiaji kuperuzi tovuti na kutumia vipengele vyake, kama vile kufikia sehemu salama za tovuti au kufanya miamala ya kifedha.Bila vidakuzi hivi, hutaweza kutumia tovuti zetu kwa ufanisi.
MCHAKATO WA USAJILI
Vidakuzi hivi vitahifadhi taarifa zilizokusanywa wakati wa usajili na vitatuwezesha kukutambua kama mteja na kukupatia huduma unazohitaji.Tunaweza pia kutumia data hii ili kuelewa vizuri zaidi uvutiwaji na mapendeleo yako ya mtandaoni na kuboresha mara kwa mara utembeleaji wako kwenye majukwaa yetu na matumizi ya huduma zetu.
TOVUTI YETU
Tunatumia vidakuzi ili kukusanya taarifa kwa watembeleaji wa tovuti yetu.
Seva zetu zinatumia aina tatu tofauti za vidakuzi:
Vidakuzi vya "kipindi husika": Aina hii ya kidakuzi inawekwa tu kwenye kompyuta yako kwa kipindi cha utembeleaji wako kwenye tovuti yetu.Kidakuzi cha kipindi husika kinakusaidia kuperuzi tovuti yetu kwa haraka na, kama wewe ni mteja uliyesajiliwa, kinatuwezesha kukupatia taarifa yenye maana zaidi kwako. Kidakuzi hiki kinaisha muda wake kiotomatiki unapofunga kivinjari chako.
Vidakuzi "ng'ang'anivu": Aina hii ya kidakuzi itadumu kwenye kompyuta yako kwa kipindi mahsusi cha muda, kulingana na kidakuzi husika.Vidakuzi vya flash pia ni ng'ang'anivu.
Vidakuzi "vichambuzi": Aina hii ya kidakuzi inatuwezesha kutambua na kuhesabu idadi ya watembeleaji kwenye tovuti yetu na kuona jinsi watembeleaji wanavyotumia maudhui na huduma zetu.Hii inatusaidia kuboresha namna tovuti yetu inavyofanya kazi kwa kuhakikisha, kwa mfano, kwamba unaweza kuingia na kupata kwa urahisi kile unachokitafuta.
Wewe ndiyo mwamuzi na daima una uchaguzi wa ama kukubali au kukataa vidakuzi.
Vivinjari vingi vinakubali vidakuzi kiotomatiki lakini, ukipenda, unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako na kudhibiti mafaili yako ya vidakuzi.
Unaweza kutumia kivinjari chako:
kufuta vidakuzi vyote;
kuzuia vidakuzi vyote;
kuruhusu vidakuzi vyote;
kuzuia vidakuzi vya wahusika wa tatu;
kufuta vidakuzi vyote baada ya kivinjari kufungwa;
kufungua kipindi cha "uperuzi wa faragha"/"incognito" ambacho kinakuwezesha kuperuzi intaneti bila kuhifadhi data kwenye kifaa chako;
kusakinisha vifaa-nyongeza na programu-jalizi ili kuongeza chaguzi za kivinjari.
Wapi naweza kupata taarifa kuhusu kudhibiti vidakuzi?
Taarifa kuhusu vidakuzi katika Internet Explorer Taarifa kuhusu vidakuzi katika Chrome Taarifa kuhusu vidakuzi katika Firefox Taarifa kuhusu vidakuzi katika Safari Taarifa kuhusu vidakuzi katika OperaKIDAKUZI CHA FLASH
Unaweza kurekebisha mipangilio yako ya Flash Player ili kuzuia matumizi ya vidakuzi vya fash.Kidhibiti cha mipangilio ya Flash Player yako kinakuwezesha kudhibiti mapendeleo yako.
Ukichagua kukataa vidakuzi vyote katika kivinjari, tunasikitika hutaweza kutumia baadhi ya vipengele na huduma kwenye tovuti zetu na baadhi ya huduma hazitafanya kazi kwa usahihi. Kwa mfano, hatutaweza kuhifadhi lugha ya kiolesura uliyoichagua.